Shirika la Maktaba za Vyuo Vikuu na Taasisi zinazofanya Utafiti Tanzania (COTUL) limeiomba Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu kusaidia kununua machapisho ya kielekitroniki yanayotumika kufundishia vyuoni kwa kuwa yanauzwa bei ghali ambayo shirikisho hilo haliwezi kumudu kuyanunua.
P.O. Box 4302,
Ali Hassan Mwinyi Road, Kijitonyama
(Sayansi ) COSTECH Building,
Dar es Salaam, Tanzaniaa
E-mail : chairperson@cotul.or.tz
Mobile : +255 757 547 856
Mobile : +255 784 315 281
Phone : +255 734 680 978